Nchini China, michezo ya bahati nasibu hupewa leseni na serikali na uendeshaji wake unategemea mfumo wa ufikiaji ulio mkali na uuzaji wa tiketi za bahati nasibu Sheghembe anasema uraibu unaohusiana na michezo ya kubeti ni ile hali isiyokuwa ya kawaida. Mtu ana beti si kwa sababu anafurahia, bali anakuwa na maumivu ambayo anataka kuyatibu. She